Mwalimu Judith John (kushoto) wa Shule ya Viziwi Buguruni Dar es Salaam akiwatafsiria wanafunzi viziwi mambo yaliyozungumzwa na watoa mada (hawapo pichani) kwenye Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani yaliyofanyika Dar es Salaam. (Picha na Yusuf Badi).
0 Comments