Dalali akimwandaa papa tayari kwa kumpeleka kwenye soko la Kimataifa la Magogoni jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, kutokana na samaki kuwa adimu kwa msimu huu, bei ya kitoweo hicho imepanda maradufu. (Picha na Robert Okanda).