Katika show nzima ya BET award pichani kushoto ni Mike Epps ndiye aliyekuwa muanndaaji wa show nzima.
LL cool J ni mmoja kati ya wanamuziki waliotunukiwa Tuzo za BET award.
 Mzee mzima Buster Rymes  ndani ya mjengo nae alitunukiwa award yake.
 Bidada Da Brat ndani ya mjengo nae alikuwepo.
 Mzee mzima Rick Ross nae alipewa award yake.
 Kijana Wiz Khalifa anayechipukia kwa kasi ya mziki wa Hiphop nae alipewa tuzo yake.
Bishoo Nelly nae alitunukiwa award yake.