Ama hakika unastahili kupongezwa si tu na familia yako,kila mmoja wetu anastahili kukupongeza kwa umri wako hapo ulipofika na kukuombea dua ili upate maisha marefu na yenye furaha.Wewe ni kiongozi wetu ambaye unajitahidi usiku na mchana kupambana na yale mabaya na kujaribu angalau kutuletea matumaini katika taifa letu changa.Maganga One Blog inakupongeza sana kwa kufikisha miaka 61 salama,Mungu akupe afya njema ili utuongoze vyema.Pichani mke wa rais mama Salma Kikwete akimlisha rais wetu keki kama ishara ya upendo na maisha marefu.ilikuwa juzi ijumaa usiku Ikulu hiyoooooooooo!!!!!!!