Meli ya utafiti wa mafuta Sam S Allgood yenye uzito wa tani 1,969 ambayo iliokolewa isitekwe na maharamia katika pwani ya Mafia Oktoba 3 na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya mapambano makali yaliyosababisha haramia mmoja kujeruhiwa. (Picha na Mtandao).