Habari za leo wapenzi na mashabiki wa Maganga One Blog.Nikiwa na afya njema kabisa napenda kutuma salamu zangu za heri katika Uchaguzi mdogo jimbo la Igunga mkoani Tabora.Nawatakia kila la heri wananchi na wakazi wa huko katika upigaji wa kura zao.Kila mmoja afuate taratibu na sheria za uchaguzi,kila mmoja asikiuke amri za serikali.

Kila mwananchi ana haki ya kumchagua yule anayemtaka,hivyo basi wananchi mjitokeze kwa wingi kupiga kura kwa maendeleo ya nchi.Mwisho kabisa nawaombea AMANI na kukubali matokeo ya Mshindi pale atakapotangazwa.
                                             Ahsanteni sana,  Maganga One.