Vodacom Miss Tanzania 2011,Salha Israel (wa tano kutoka kushoto) akiwa na warembo wenzake wanaoshiriki katika shindano la urembo la Dunia (Miss World 2011 ) katika moja ya tafrija zinazoendelea kufanyika jijini London,Uingereza.Fainali za Shindalo hilo zinatarajiwa kufanyika Novemba 6,2011 jijini London.