Watani wangu wa jadi WAUZA MITUMBA pale mtaa wa Kongo Karikoo Simba watakutana na wanjanja wa mjini vijana machachari Dar Young Africa leo katika uwanja mpya wa national stadium.Naitakia kila la heri timu yangu ya Yanga kukata ngebe za hao wana majigambo Simba mnyama wa porini.tukutane baadae kwenye matokeo,Mzee wangu mzee SAID SLEYYUM pale Ilala Dar usinikimbie kwenye matokeo usiku.
0 Comments