Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akikabidhi tuzo kwa niaba ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake kijijini Butima. Tuzo hiyo amepewa kutokana na mchango wake mkubwa ambapo ametoa kiwanja chake kwa umoja huo kujenga ofisi zao. (Picha na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO).