Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (Teku), wakiwa na bango baada ya kuandamana kuelekea katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuilalamikia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kushindwa kuwapatia mikopo yao kwa wakati.(PICHA: MPIGAPICHA WETU)