Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Meya wa Jiji la Zanzibar, Khatib Abrahaman, mara baada ya kuwasili Zanzibar akitokea India ambako alikwenda kwa ziara ya kikazi na kuchunguzwa afya yake. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Fatma Alhabib Ferej. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).