WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdilla Hassan Jihad akizungumza na wa masuwala ya michezo kwa pande hizo mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hateli ya Bwawani jana, kulia Rais wa TFF LeodgarTenga. (Picha na Othman Maaalim)