Habari za leo wana Maganga One Blog.
Kutokana na kuwa nje ya nchi kwa siku mbili namba yangu ya simu itakuwa off Waungwana.
Nategemea kuwa hewani kesho tarehe 31 October 2011.Nawaomba msamaha kwa hilo.
Kwa mawasiliano ya ya email napatikana kama kawaida magangaone@gmail.com nawaomba
msamaha kwa usumbufu wowote unaojitokeza kwa kila mmoja.
Ahsanteni sana. Maganga One.
0 Comments