Vipi jamaniii? mnakimbiza mwenge? aaaah hapana bwana tumemtoa mnyama mjini,lake ni pori.
Eti nini? Aaaah Tumeshachinja Simba....kwani sisi ni Wamasai aaaah Hapana bwana sisi ni YANGA Umoja wa Mataifa.Mzee Yusuf ndani,kashindwa kujizuia kwa furaha.