SKENDO nzito imerushwa kwa staa ambaye ni sura ya mauzo kunako Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, akidaiwa kuhongwa nyumba anayoikarabati iliyopo maeneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam, Ijumaa Wikienda limesheni data.
…Maganga One Blog haijapata uhakika wa habari nzima ila tukizipata aah kama kawaida yetu ni kukaanga mbuyu na wenye meno inakuwa kazi kwenu.