Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam jana.(picha na Freddy Maro).

Rais Jakaya Kikwete akiendelea na mazungumza na mgeni wake Ikulu jijini jana.