Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia Lupembe (wa pili kulia) akimpa mkono mwanafunzi wa shule ya msingi Ikungi mkoani Singida wakati akimkabidhi moja ya vitabu vilivyotolewa na TEA kwa ajili ya kukabiliana na upungufu wa vitabu shuleni hapo. Wa tatu kutoka (kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Singida, Pascal Mabiti. (Na Mpiga Picha Wetu).
0 Comments