Kwa kawaida ndege kubwa zinapopatwa na matatizo angani ni Rubani ambaye mwenye kutupiwa lawama zote,na pindi akionyesha uwezo wa ziada tofauti na alivyofundishwa kila mmoja umpa sifa zote.Ukiangalia hii picha ndugu yangu msomaji utapata picha kamili jinsi rubani wa ndege hii jinsi alivyojitahidi kunusuru roho za maelfu ya abiria.
0 Comments