Rais Mstaafu,Mzee Benjamini Mkapa akimnadi mkombea wa CCm Igunga Dr,Dalaly Kafumu kwa wananchi
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Mzee Benjamin William Mkapa akituhubia maelfu ya watu katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, jana katika Uwanja wa Sokoni, Nkinga mkoani Tabora.
Nani kasema kuna uhasama wa kiitikadi Tanzania? Hapa kijana wa CHADEMA akimsaidia Kijana wa CCM kufunga bendera kwenye kijiti mjini Igunga kudhihirisha kwamba wote ni wamoja kitaifa japo kivyama ni tofauti.