Scorebord hivi ndivyo ilikuwa ikionyesha mwisho wa mpambano kati ya Manchester United na Manchester City sina la ziada waungwana.Maana iliniuma sana.
Huyu mshikaji hakuwa na huruma hata chembe wallah,mguuni kwake peke yake aliweka mpira wavuni mara tatu.
Jamani vipi washikaji? Aaah leo tuandike maumivu tu,au tukimbie? Hapo full discussion ambayo haikuwa na mafanikio yoyote,maana kama kuramba basi Man u tuliramba siku hiyo.
Jamani ushindi raha jamani..ebu angalia hawa washikaji jinsi wanavyopongezana na huyo mwenye jezi ya ndani aliyoiandika maandishi ya WHY ALWAYS ME? kiukweli alistahili kupongezwa kwa goli zake siku ile.
WHY ALWAYS ME? Huyu mshikaji alikuwa na kila sababu ya kusema hivyo,angalia hapo anafunga lingine na lingine na lingine.daah alijuakutuotea siku ilee.
Daah huyu mshikaji mmh,hapa anatuongeza lingine kukamilisha goli zake tatu kati ya sita kwa siku ile.
Hapo napo nawakumbusha tu wanaotuchukia Manchester United kwamba mambo kwa siku ile yalikuwa hivii.
Kocha wa Manchester City alikuwa na kila sababu ya KUKENUA MENO kwa siku hilee,kiukweli acha niseme ukweli tu,Manchester City siku ile walituzidi kila idara na nawapongeza sana kwa soka ambalo walicheza siku ile,ila Wale wooote mnaoichukia Manchester United,naju ni Arsenal,Chelsea na Liverpool ambao wote nimewapa Dozi kasoro Liverpool alinusurika na dro.kumbukeni kufa kwa Imamu sio mwisho wa Ibada,tunatafakari na kuchukua hatua.
0 Comments