Ilikuwa furaha sana pale Waziri wetu mkuu Mh: Mizengo Pinda alipokutana uso kwa uso na aliyekuwa kocha wetu wa zamani wa timu ya Taifa bwana Marcio Maximo kulee jijini Rio de Janeiro nchini Brazil.Waziri mkuu yupo kule kwa kikazi.Ingekuwaje kama tusingemtendea wema kocha huyu?je hayo matabasamu yangekuwepo?kuishi na watu vizuri inaleta raha sana.