Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kapteni mstaafu Issa Machibya (anayeshuka kwenye ndege) akipokewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC), Paul Chizi baada ya kukagua ndege hiyo ilipowasili uwanja wa Kigoma. Shirika hilo limeanza kutoa huduma zake baada ya kusimama kwa muda mrefu. (Picha na Robert Okanda).
0 Comments