Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Joseph Pyne. mzungu aliyeshika namba 3 katika shindano la wasanii wa muziki la Bongostar Search 2010 wakati walipokutana katika Ziara ya Prince Charles Mtoto wa Malkia wa Uingereza Queen Elizaberth II , Prince Charles alikuwa nchini kwa ziara ya Kiserikali ya siku nne ambayo ilimalizika jana.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiongozana na Joseph Pyne huku akionekana kufurahia jambo na mwamauziki huyo.(na Mwanakombo Jumaa)
0 Comments