Wapenzi woote wa Maganga One Blog,napenda kuchukua fulsa hii kuwashukuru nyote tuliokuwa pamoja kwa kipindi chote nilipokuwa nchini Holland.Kiukweli nimewafurahia wotee kwa ukarimu wenu.Nimerudi nchini kwangu salama jana usiku.
Nikiwa ndani ya jongoo taratibu kuelekea home,safari ilikuwa nzuri na nilifika home salama,nawashukuru sana tena sana..tutaonana tena siku za usoni.Nanyi karibuni sana kwetu.Namba yangu inapatikana kama kawaida KWA SHUGHULI ZA KIKAZI na KIRAFIKI piga + 32 492 22 33 25 mail magangaone@gamail.com Ahsanteni sana na nawapenda wote.
0 Comments