Hallow wadau

Shirikisho la mchezo wa Pool Africa limeahirisha mashindano ya mchezo wa pool kutokana na sababu za kiusalama nchini malawi kutokuwa sawa

Kwasasa tunasubiri kupata maelekezo ya wapi mashindano hayo yatakapofanyikia na wapi

Team bado ipo inafanya maandalizi katika mikoa mbalimbali

Regards

Inno