Ilikuwa mchezo wa ngumi ni wa wanaume pekee,sasa wanawake nao wamo,ikaja mpira wa miguu nao wao,sasa na mambo ya sarakasi pia wamo,baadhi ya wanawake wameweza hata kushika nyadhifa mbalimbali mpaka Urais.haya wanaume kazi kwetu itakapofika kazi ya kupigwa makofi na kupewa amri na maelekezo yote ya nyumbani.
0 Comments