MIAKA 50 YA UHURU WETU TUMEPAMBANA NA MENGI SANA NA TUNASHUKURU TUMEFIKA SALAMA.
TUMESHAWISHIWA KUPIGANA TUKASEMA HAPANA SISI NI WATU WA AMANI.
TUMESHAWISHIWA KUDANGANYIKA TUKASEMA HAPANA SISI NI WATANGANYIKA.
TUMESHAWISHIWA KULEGEA TUKASEMA HAPANA SISI NI WAKAKAMAVU.
TUMESHAWISHIWA KUBOBOMOA TUKASEMA HAPANA SISI NI WAJENZI.
MWISHO TUMESHAWISHIWA USHOGA TUKASEMA HAPANAAA SISI NI MASHABABI.
HONGERA SANA TANZANIA KWA MIAKA 50 YA UHURU,TUNA KILA SABABU YA KUSHEHEREKEA SIKU YETU YA LEO.NA TUENDELEE KUSEMA HAPANA KWA KILA JAMBO BAYA.WELA WELA WELAAAAAAA A TANZANIAAAAAAAAAAAAAAA.Mambo madogomadogo tuyamalize wenyewe kwa kuongea kama tulivyopata Uhuru wetu kwa kuongea tu.MAMBO YA KUPIGANA TUSEME HAPANAAAAAA.Kila la heri Waungwana na Siku kuu njemaaaa.
0 Comments