Kutoka kushoto ni mrs Maganga One na mrs Hija ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa watu wa karibu sana kuweka mambo sawa kwenye mtandao wa blog yenu,kila mmoja ametoa salamu zake za heri kwa kila mmoja kwa mwaka 2012 uwe mwaka wa mafanikio na mambo mazuri kwa watu wote.
Kutoka kushoto ni shekh Hija na kulia ni Maganga One wote hawa ni makamanda ambao wanakuleteeni habari kila kukicha kwenye blog yenu.kwa pamoja tunawatakia kila la heri kwa kila mmoja wetu kwa mwaka 2012 uwe na Amani,mafanikio na ushirikiano.hatuna mengi ila tunawahakikishia kuwa mwaka 2012 utakuwa na habari nyingi na nzuri.Heri ya mwaka mpya waungwana.