Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Chanjamjawiri-Tundauwa Pemba,kwa mashirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa iundombinu na Mawasiliano hamad Masoud Hamad,(kutoka kulia) Katibu mkuu wa Miundombinu na Mawasiliamo,Dk Lila Vuai Lila,Naibu Waziri wa Wizra ya Miundimbinu,Issa Haji Ussi naBalozi wa Norway Nchini Tanzania Bibi Igun Klepsvik.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kwenye Uzinduzi wa Barabara ya Chanjamjawiri-Tundauwa,kwa mashirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,( kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Juma Kassim Tindwa.