NYIMBO YA ZUBIZUBI.
Yani unakuta watoto wamejazana kibaoo kwa mshefa mwenye Tv mtaani,kisha wanakusimuliza picha mwanzo mwisho..ukijaribu kumuhoji juu ya lugha ya Kihindi kama anafahamu hakuna hata anachokijua,ila simulizi na jinsi ulivyoangalia movie ni sawasawa.Wengi wao enzi hizo walikuwa wakiangalia movie kwa uzoefu na sio kuelewa lugha ya Kihindi.Hii nyimbo imenikumbusha mbali sana ndio maana nikaona leo acha niiweke tu.cha kushangaza mpaka leo Kihindi ...............
1 Comments
MDAU USA