Habari kaka, naomba unipostie tangazo langu kwenye blogu yangu. Jina langu ni Caren, ni mwanamke na ninaishi Norway. Ninatafuta mchumba ambaye Mungu akipenda tufunge ndoa. mimi ni mkristo pia mchumba ninayemtafuta awe mkristu pia, mwenye umri kuanzia miaka 34 - 38. Ni vizuri akawa mstaarabu, asiwe na watoto wala mke wala ambaye hajawahi kuoa. Nakaribisha maombi kutoka nchi yoyote. Ila kama yupo nje ya ninapoishi awe mwepesi sana wa mawasiliano.
Nitashukuru sana kama utaniwekea tangazo langu kwenye blogu yako.
email yangu ni:

carencaren@rocketmail.com

simu yangu nitatoa baadaye tukifahamiana vizuri.