Matajiri wa kiarabu huwa wanafanya mambo mengi sana ya kumkufuru Mwenyezi Mungu,angalia picha hii ni watu wasiozidi 15 wakiwa wamepikiwa chakula kingi sana cha mchanganyiko wa wali na nyama,wanakula na hawamalizi chote kisha wanakwenda kumwaga baharini.
Wali ni mwingi sana,nyama nyingi sana ila watu wachache ambao wanaokula hapo.mataifa mengi sana duniani wanalia njaa ila hawa jamaa wala hawana habari,ni kula na kumwaga.hii ndio taratibu za matajiri wa kiarabu hukooo Arabuni.