Nchi kama Sudan na Somalia usishangae kuona watu na mizigo yao wakiwa katika usafiri wa namna hii,ni hatari sana kwa maisha ya mwanadamu ila hawana budi.Msijaribu kuiga hii kitu.