Katika kizaazaa cha michuano ya NBA kitakachoendelea tena leo hii jijini Boston Ma, kati ya Celtics vs Wizards nchini hapa. Mechi ya awali timu ya Boston Celtics ilifanikiwa kuwaminya Wizard kwa pointi 94-86.

Timu ya Wizards leo hii itapambana tena na timu hiyo ambayo wapenzi wa Wizards wakisubiri kwa hamu ili kupanga matokeo dhidi ya mchezo ambao wizard walipoteza kwenye game ya awali.