Hili ndilo eneo la tukio la ajali iliyowakumba Wanajeshi wa JWTZ, kwa mbali likonekana gari la JWTZ pamoja na waanchi waliokuwa wakitoa msaada na wengine wakishuhudia. Picha na Othman Maalim.
Wananchi wakitowa msaada kwa Wanajeshi waliopata ajali katika barabara ya Fuoni, gari yao ilipinduka baada ya kumkwepa mpanda baiskeli kwa mujibu wa habari za wasamariawema walioshuhudia ajali hiyo na kusababisha gari hiyo kupinduka.