Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (alievaa kofia) akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambae vilevilie ni Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia (mwenye mtandio) wakiteremka kwenye kivuko cha Msanga Mkuu kinachojengwa katika Bandari ya Dar es Salaam kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kivuko hicho kitakachotoa hudumu kati ya Mtwara vijijini na Msanga Mkuu.((picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
0 Comments