Kwa pamoja Liverpool wakishangilia ushindi wao wa matuta baada ya mmoja wa wa wachezaji wa Cardiff kukosa penati.
Hongereni Liverpool kwa ushindi wa matuta na kikombe chenu cha mtaani.