Chandra Dangi akiwa ameshikilia yveti vyake viwili vya rekodi ya dunia kwa ufupi wake.

Dangi akiwa katika meza ya chakula akijumika na jamaa zake .
Dangi akiwa kafunga mkanda ndani ya ndege kuelekea katika mji wa Kathmandu ambako ndipo alipokwenda kutambua  kuwa ndie yeye mtu mfupi kuliko wote duniani.