Alicia Keys akiwa na mwanawe wa kiume aitwae Egypt katika ufukwe wa bahari huko Hawaii.
Mtoto kwa mama jamanii,bidada Alicia Keys akiwa na mtoto wake wakipata upepo mwanana baharini.
Sio mama tu mwenye mapenzi na mtoto hata baba nae huwa ana mapenzi yake kwa mtoto na muda wa kucheza nae.Pichani mume wa Alicia Keys Swizz Beatz akichea na mwanawe.
Ukiwa ufukweni ni lazima uwe macho na mtoto kwa kila sekunde maana ukizubaa tu mmmmh,pichani msanii Alicia Keys akiwa macho na mtoto wake kila alipokwenda.
0 Comments