Baadhi ya wazee wa Kingoni wakiwa wamevaa mavazi mfano wa yaliyokuwa yakivaliwa na machifu wa kabila hilo wakati wa ukoloni kabla ya vita ya majimaji kwenye maadhimisho ya sherehe za kumbukumbu za mashujaa hao mjini Songea. (Na Mpigapicha Wetu).