Wanafunzi wakiwa katika hali ya mazungumzo kabla ya sherehe za  maafari kuanza.
Kama kawaida michezo ya kuigiza mashuleni huwa ni moja ya mambo ya kuvutia katika sherehe zozote zinapofanyika,pichani ni wanafunzi wa shuleni hapo wakiigiza moja ya michezo ya mambo ya elimu jamii.
Wanafunzi waliohitimu wakiwa katika mpangilio mzuri wa kusubiria kuitwa majina yao ili kwenda kukabidhiwa vyeti vyao.
Wasichana kwa wavulana wakicheza ngoma kuwaburudisha wageni waalikwa waliohudhuria shuleni hapo.
Burudani ya ngoma ikiendelea shuleni hapo.
Mmoja wa wanafunzi aliyechaguliwa kusoma risala fupi kwa wageni waheshimiwa waliokuwa meza kuu wakimsikiliza.
Show nzuri ya burudani ilipambwa na wanafunzi wa kike ambao waliwaburudisha wageni waalikwa shuleni hapo.
Mgeni mualikwa akitoa risala fupi kwa wahitimu wa shuleni hapo.(picha zote na Daniel wa Maganga One Blog).

Kwa picha zaidi gonga read more.