Madaktari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dk. Meja Julius Mndolwa (kushoto) na Dk Meja Horumpende, wakipitia nyaraka za matibabu katika idara ya dharura ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam jana. ( Na Mpigapicha Wetu)