Hallo
Wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog jana mchana nilipatwa na ajali ya kugongwa na gari wakati nikiendesha pikipiki.nilijeruhiwa mguu wangu na baada ya hapo nilikimbilia hospital kwa matibabu zaidi.

Niliruhusiwa kurudi nyumbani kwa mapumziko baada ya uchunguzi wa awali.Hali yangu nilikuwa nzuri tu japo nilikuwa nachechemea nilipotembea.Kutokana na hali hii nahitaji mapumziko ya muda mrefu kidogo kwa kulala zaidi ya kukaa,kwa maana hii ninawaomba radhi wapenzi na wasomaji wetu kwamba sitapatikana hewani kwa kipindi chote ambacho najiuguza.

Nawatakia uvumilivu kidogo na mniombee niweze kupona kwa haraka ili tuweze kupeana habari zaidi.nawatakia siku njema.
                                                                          Maganga One Blogger.