Hallo My People.
Namshukuru Mungu kwa hali yangu kuendelea vizuri na nawashukuru sana kwa wale wote walioguswa kwa namna moja au nyingine kwa kunijulia hali yangu kwa njia ya simu,email na hata wale waliofanikiwa kuonana na mimi ana kwa ana.

Ilikuwa vigumu kuamini kama ningeweza kufikia hali hii niliyonayo sasa ila namshukuru sana MUNGU kwamba kwa hatua niliyofikia ni nzuri sana.Wapenzi wangu wote nawashukuru sana kwa dua zenu na mapenzi yenu mliyoyaonyesha kwangu kwani pole zenu zimenifariji sana.

Nitaingia mitamboni kipindi kifupi kijacho ili tuendelee kuwa pamoja.tupo pamoja na nawapenda sana.
                                                    Maganga One.