Jamani usiombe ikukute pancha kipindi cha baridi maana yake utajuta kuzaliwa.hii nakumbuka siku za nyuma rafiki yangu mmoja alipoamua kuiacha baiskeli yake njiani kwa kujinusuru kufa kwa baridi.Waungwana ukisikia barafu inamwagika usifikiri mchezo.na haya ndio maisha yetu ya ulaya.