Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiwa amembeba mtoto wa miezi saba, Sinani Makame, ambaye ni miongoni mwa wagonjwa 21 wa moyo waliotarajiwa kusafiri jana kwenda New Delhi, India kwa ajili ya upasuaji wa moyo. Kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Shara Jaffar, Dk. Rajni Kanabar wa Hospitali ya Regency (wa pili kulia) na baadhi ya viongozi wa Lions Club Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).