Ni kijana mdogo,mtanzania mwenye dhamira ya kuutangaza vyema muziki wa bongo flava ndani na nje ya nchi kadhalika kuwajulisha wanamuziki wanafanya nini,kazi za muziki na wanamuziki toka nje ya nchi pia.

Lengo la kuanzisha blog hiyo ni kuwapa fulsa wanamuziki wachanga na wakongwe kujulikana zaidi na zaidi kutokana na  kazi zao.ni blog changa yenye muelekeo wa kuwa kubwa na ili kuwa kubwa inahitaji sapoti zenu.shime wananchi na watanzania wote mlio ndani na nje ya nchi jumuikeni kuikagua blog hiyo mpya inayokwenda kwa jina la PHATBEATTZ MUSIC link ya blog hiyo ni hii hapa http://phatbeattz.blogspot.com ahsanteni sana.