Moja ya sifa ya kupata uongozi darasani lazima uwe na akili na nguvu na hii itakupatia uwezo wa kuwaongoza wenzako vyema darasani.kwa kuwa na sifa hizi mbili darasani ukiongeza na moja ya kuwa mwanafunzi msafi inakupa nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa darasa.kwa enzi zetu sisi hivi vigezo vilizingatiwa sana.