Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimi akibapa maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya upigaji picha Bw G.Makupa alipotembelea banda la GRM Production wakati alipotembelea Maonesho ya Harusi Trade Fair katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam. Nyuma yao ni mwandaaji wa maonesho hayo na gwiji wa ubunifu wa mavazi nchini Mustafa Hassanali

Mdau akitembele banda la GRM Production leo