Summer time inanukia kwa mbali,waungwana wakiwa ndani ya kijua,pichani bwana mdogo Nusayr akimkimbilia uncle wake Eddy ili apate picha.mwenye Kapelo ni Mkuu wa Kijiwe Kipya bwana Yusuf nae akiwa makini kuangalia usalama wa watoto ,Tayrisher,Cherie,Sharoon,Nabil na Roshan ambao walikuwa kivutio katika kijiwe chetu kipya.
Kutoka kushoto ni Mzee mzima Maganga One,Uncle Samir,Uncle Yusuf na Uncle Eddy ambao kwa pamoja na watoto wetu tulijumuika kuota jua ambalo limekuwa Adimu kwa kipindi kirefu katika kijiji chetu.
Ni jukumu letu wazazi kuwaonyesha upendo watoto wetu,pichani bwana Yusuf  akiwashuhudia watoto wetu wakiwa wanabusiana kana upendo kwa kila mmoja wao.Enzi zetu ilikuwa tabu au nadra kuona watoto mkiwa mna upendo wa namna hiyo.
Michezo kwa watoto ni kitu kizuri sana,inapendeza kuona watoto wanapata fulsa ya kujumuika pamoja na kucheza pamoja.cha msingi unahitajika kuzingatia kanuni za malezi bora kama mzazi.ni jukumu letu kuwalinda na kuwapa malezi stahiki watoto wetu
Kutoka kushoto ni Cherie ambaye hakuonekana vyema,anayefuata ni Sharoon,anayefuata ni Tayrisher,Nusayr mwenye draft na wa mwisho ni Roshan wakiwa juu ya gari wakipata ubaridi wa mwishomwsho kabla ya kuingia kipindi cha jua kali na upepo.
Juu ya gari watoto wapendanao ni Tayrisher kushoto akiwa na bwana mdogo Nusayr huku wengine wakiwashangilia kwa kutulia juu ya gari kwa madaha wakisubiri kupigwa flash.siku ya leo watoto utoka school mapema hivyo hupata fulsa ya kucheza pamoja kwa kipindi kirefu.